速報APP / 音樂與音效 / Sikiliza - Tanzania Radios FM AM Live

Sikiliza - Tanzania Radios FM AM Live

價格:免費

更新日期:2018-07-26

檔案大小:因裝置而異

目前版本:因裝置而異

版本需求:Android 因裝置而異

官方網站:http://sikiliza.co.tz

Email:info@sikiliza.co.tz

聯絡地址:隱私權政策

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖1)-速報App

SIKILIZA app inakusogezea karibu zaidi radio zote za Tanzania. Usihangaike tena kutafuta radio kusikiliza radio au kipindi ukipendacho. Tumesogeza radio zote karibu yako zaidi. App inatumia mtandao wa simu yako 3G, 4G, Wi-Fi ili kukuunganisha na redio za Tanzania ukiwa popote dunia.

- Swahili FM radio stations.

- Sikiliza FM radio za Tanzania.

- Pata michezo, burudani, muziki, mastaa, mitindo na habari kutoka kwenye kituo chako pendwa Tanzania

Mandhari ya SIKILIZA Radio:

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖2)-速報App

✔ FM Redio Stations zote za kitanzania

✔ Inacheza kwa nyuma

✔ Inafanyakazi kwenye simu zote kuanzia 4.0 mpaka android version ya sasa

✔ Share FM/Redio App kwa familia na marafiki

✔ Sehemu ya kutafuta redio

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖3)-速報App

✔ Penda redio yako iwe rahisi kuipata

✔ Jumla ya idadi ya watu walio sikiliza redio station

✔ Muonekano rahisi kutumia app

Idadi ya Tanzania FM redio zinazopatikana ndani ya app:

Passion FM 99.9

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖4)-速報App

EBONY FM 87.8

COUNTRY FM 88.5

VOT FM 89.0

SIBUKA FM 97.0

ABOOD FM 89.7

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖5)-速報App

Upendo FM 107.7

Choice FM 102.5

Clouds FM 88.5

E-FM Radio 93.7

East Africa Radio 88.1

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖6)-速報App

Radio One 89.7

TBC FM 90.0

Times FM 100.5

CG FM Radio 89.5

Qiblaten FM 103.6

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖7)-速報App

List bado itaendelea ...

Sikiliza -  Tanzania Radios FM AM Live(圖8)-速報App